Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Becky hatashinda mkanda...ronday atabaki na mkanda wake....si umeona juzi wamempa mkanda the qeen...ili after mani waendeleze beef lao. Halafu pia becky yuko smackdown...so hawawezi kumpa.mkanda sababu itakuwa smackdown wana mikanda miwili ya wanawake na Raw hawana mkanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, suala la Becky kuwa SDL sio issue ya kutompa mkanda, maana just after wrestle mania, inafuata super star shake up, uhamisho wa super stars kutoka SDL kwenda MNR and vice versa.

Ila naweza kukubaliana na wewe kuwa Ronda anawaingizia WWE hela nyingi sana, so lazima wamweke front line.
 
Akishinda mkanda wa raw automatically anahamia raw, mkanda hauhami mtu ndio anahama.

Ukiwa na mikanda miwili ya pande zote utahudhulia pande zote.
 
Wrestlemania leo itaanza saa sita usiku kwa saa za huku Tanzania(preshow) ambapo main event itaanza saa nane ya Usiku,itakuwa live supersport 8
 
WWE wamejitahidi sana kuiwekea mbwembwe main event ya mwaka huu ili kweli ivutie, ndo maana mzee Vince alimuingia Charlotte Flair.

Na kweli imeteka attention ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…