Phb_himself
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 222
- 187
Ningekua na msura alio nao undertaker ningefurah sana...msura wa kuua tuu, hukenui, hupindshi macho wala kope haichez, msura wa siriaz, macho ya kunyofoa mtu mda wwt hivyo utani hakuna, mtu anakuja anamtunishia misuli anamwangalia tu, G kajikaza kweli ila undertaker anamwangilia tu..Undertaker ang'araView attachment 1121230
Halafu kuna mtu anakuambia the undertaker ni mcheza filamu tuNingekua na msura alio nao undertaker ningefurah sana...msura wa kuua tuu, hukenui, hupindshi macho wala kope haichez, msura wa siriaz, macho ya kunyofoa mtu mda wwt hivyo utani hakuna, mtu anakuja anamtunishia misuli anamwangalia tu, G kajikaza kweli ila undertaker anamwangilia tu..
Kungekua na dawa ya kunywa urud nyuma miaka kadhaa fln, undertaker na shawn michael wangetakiwa kunywa ili waendeleee kupiga kaz!!! Bas tuu!!
Huwa iko kwenye kebo. Huko azam sijawahi kuiona.Hii iko azam?
Halafu kuna mtu anakuambia the undertaker ni mcheza filamu tu
Hehe..kafanywa kitu kibaya sana
Mashabiki wa Dude wanapata taabu sana! Baba Mtakatifu yupo mafichoni kwa muda![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1122242
Duh! Kudadadeki!Mashabiki wa Dude wanapata taabu sana! Baba Mtakatifu yupo mafichoni kwa muda![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1122242
Duh! Kudadadeki!Mashabiki wa Dude wanapata taabu sana! Baba Mtakatifu yupo mafichoni kwa muda![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1122242
Kwani huyu jamaa si hayupo tena WWE ama??Street dog kafanya yake hukoView attachment 1119004
Mmmh! huu mchezo huu!!
Mbona Mr. MITB kama kaweka kichwa vizur kwa ajili ya kuwa burn it down?!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe ulisoma comment yake nikaona bora nikae kimya maana hajui alisemalo,cjui kaanza kuangalia mieleka juzi.
Mmmh! huu mchezo huu!!
Mbona Mr. MITB kama kaweka kichwa vizur kwa ajili ya kuwa burn it down?!
Hii ndio sabab pekee ikanifanya niamn huu mchezo n scriptd. Ata ukiangalia style ya pal herman alivyotupa ile bag n scriptd pia. Tunajua n maigzo, ila atlist wafanye maigzo km ya kpnd cha nyuma, ilikuwa ngum kuwashtukia. Lakn sku hz n upuuuz tu..
Ata ile super men punch ukiiangalia kwa makin haimfikii kbsa opponent. Ila atakavyo jiangusha sasaa, yan fully undez tu
Mbona huwa wanatoka damu na wkt mwingine mtu anaonekana kalegea kbs kwa kipigo.Huu mchezo ni uigizaji tu mkuu.Tupo pamoja katika hili.
Super man punch ile ukipigwa ya kweli meno na damu vyote vinadondoka chini
Ofcoz kuna mara chache wanatoka damu. Na mara nyingi ni bahati mbaya. Sio kusudi la mpinzani. Na refa anaweza maliza pambano akiona hiyo hali maana mara zote wakati wa pambano anawasiliana na walioko vyumbani kupitia ile earpiece.Mbona huwa wanatoka damu na wkt mwingine mtu anaonekana kalegea kbs kwa kipigo.
Mf vile wanavyopigana na viti, fimbo.