Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Watu wanaboa sana aiseeHakukuwa na sababu ya kuandika gazeti lote hili
List yako naikubali sana tena mno maana uliowaweka ni wauaji ninaowapenda.lakini kila mtu anachokupinga ni kuwapondea john cena na undertaker.umekosea sana tena mno kuwaita wazugaji.tathimini yako ingekua bila hao watu ingezewekana kupita kama katibaMimi kwa sasa namkubali jamaa mmoja anaitwa Baron Corbin na KO yake End of Days ni kali mno.
Top10 yangu ya wrestlers wa muda wote toka dunia ianze na hawatakuja kutokea tena hadi mwisho wa WWE (pia hii top10 haina upinzani kwa anaejua mieleka toka WWF)
1.Gold Berg
1.Curt Angle"The Olympian"
3.The Rock"P'ple champ"
4.Steve Austin 316"Stone cold"
5.Chris Benoit
6.Brock Lesnar"The beast"
7.Shawn Michael "HBK"
8.Triple H "The Game/The Cerebral Assassin"
9.Randy Orton"Legend killer"
10.Eddie Guerrero
Note; John Cena na Undertaker hawa ni waigizaji bora wa muda wote WWE nawaheshimu sana, ila waliharibu sana uhalisia na maana ya mieleka japo aliiboost sana kibiashara
ametukosea sana kwa kweliList yako naikubali sana tena mno maana uliowaweka ni wauaji ninaowapenda.lakini kila mtu anachokupinga ni kuwapondea john cena na undertaker.umekosea sana tena mno kuwaita wazugaji.tathimini yako ingekua bila hao watu ingezewekana kupita kama katiba
Yaan hata Sting hayupo?Mimi kwa sasa namkubali jamaa mmoja anaitwa Baron Corbin na KO yake End of Days ni kali mno.
Top10 yangu ya wrestlers wa muda wote toka dunia ianze na hawatakuja kutokea tena hadi mwisho wa WWE (pia hii top10 haina upinzani kwa anaejua mieleka toka WWF)
1.Gold Berg
1.Curt Angle"The Olympian"
3.The Rock"P'ple champ"
4.Steve Austin 316"Stone cold"
5.Chris Benoit
6.Brock Lesnar"The beast"
7.Shawn Michael "HBK"
8.Triple H "The Game/The Cerebral Assassin"
9.Randy Orton"Legend killer"
10.Eddie Guerrero
Note; John Cena na Undertaker hawa ni waigizaji bora wa muda wote WWE nawaheshimu sana, ila waliharibu sana uhalisia na maana ya mieleka japo aliiboost sana kibiashara
Hahahaa mkuu umeua sana.ule sura upo siriasNingekua na msura alio nao undertaker ningefurah sana...msura wa kuua tuu, hukenui, hupindshi macho wala kope haichez, msura wa siriaz, macho ya kunyofoa mtu mda wwt hivyo utani hakuna, mtu anakuja anamtunishia misuli anamwangalia tu, G kajikaza kweli ila undertaker anamwangilia tu..
Kungekua na dawa ya kunywa urud nyuma miaka kadhaa fln, undertaker na shawn michael wangetakiwa kunywa ili waendeleee kupiga kaz!!! Bas tuu!!
Lazima aombe msamahaHalafu kuna mtu anakuambia the undertaker ni mcheza filamu tu
Anachojua ni kupiga guitar basiLediiiiiz and jentromeniiiiiii elayasiiii.huyu jamaa ananifurahisha sana kwa tambo zake akishika maiki..ila ulingoni mweupe sana anakuambia wwe stand for walk with elayas.pia mkanda wa 24/7 wa r truth umeongeza udambwiudambwi mwingi
USOSnyimbo zangu kali za WWE.
1.glorious
2.Sam zayn
3.Cobbin Barlon
4... Taja zako
1.The rising the sun-Nakamuranyimbo zangu kali za WWE.
1.glorious
2.Sam zayn
3.Cobbin Barlon
4... Taja zako
Mkuu hii Catch your breath niliisahau pamoja na Nakamura bila kuisahau ike ya The Man BECKY LYNCH1.The rising the sun-Nakamura
2.Catch your breath-Finn barol
3.RIP-Undertaker
4.Sky the limit-Sasha Banks
5.Phenomenal-Aj style
6.My time-Cena
7.Glorious-Bob Roode
8.Voice-Randy
John Cena - my time is Now1.The rising the sun-Nakamura
2.Catch your breath-Finn barol
3.RIP-Undertaker
4.Sky the limit-Sasha Banks
5.Phenomenal-Aj style
6.My time-Cena
7.Glorious-Bob Roode
8.Voice-Randy
Hiyo ndo nafasi yake kutokana na script..siku wakibadili atabeba hata huo Mkanda mkubwaAnachojua ni kupiga guitar basi
Aysee lile ni Bonge la songiKwenye list hapo umemsahau Sami Zayn naye ana entrance theme nzuri