Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
BadoSeth kashinda
Ningekuwa ni Seth aisee yule Guest refaree angekula viti vya kutosha.Mech ya Seth ilikuwa kali jamaa kashinda
The rock anatishaaaaaaa hana mpinzaninyimbo zangu kali za WWE.
1.glorious
2.Sam zayn
3.Cobbin Barlon
4... Taja zako
Ata Mimi nahisi hawa jamaa mashoga ata rangi zao kama Bendera za mashogaHivi hao mashoga wa New day siwapendi jamani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]