Phb_himself
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 222
- 187
Anaotea kila upande! 🤣 🤣 🤣Never win the Tag Team championships with Seth Rollins [emoji23] View attachment 1808349
Kosa gani mkuu?WWE wanafanya kosa jingine kumuachia mwamba japo alikuwa na mkataba wa USD 1.2M kwa mwaka.View attachment 1808350
Kumuachia jamaa aondoke na mpaka Almas anasepa EAW pia inasemekana Charlotte anaweza ondokaKosa gani mkuu?
Charlotte flairKumuachia jamaa aondoke na mpaka Almas anasepa EAW pia inasemekana Charlotte anaweza ondoka
Duh, nimecheki sahi, balaa. Hawa WWE hawaelewekiKumuachia jamaa aondoke na mpaka Almas anasepa EAW pia inasemekana Charlotte anaweza ondoka
Kumbe wanalipwa pesa ndogo sana compared to footballers..?WWE wanafanya kosa jingine kumuachia mwamba japo alikuwa na mkataba wa USD 1.2M kwa mwaka.View attachment 1808350
Ndio sema jamaa wanahudumiwa kila kitu ikiwemo swala la afya zao kingine matangazo na mashavu mbalimbali.Kumbe wanalipwa pesa ndogo sana compared to footballers..?
Uzi upoHuu uzi umekufa?Hamna anayecheki WrestleMania