Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kajamaa kagum sana kale...... Unakumbuka kwenye royal ramble aliingia wa pili... Ila akakomaa paka wakabak wanne..... Ndio aliekaa mda mrefu zaid kuliko wote
Fin balor namlinganisha na Daniel Brian enzi zake.
 
Walichomfanyia Miz ni uonevu..... We huwez kupigana mapambano mawili mfululizo... Alaf unaanza na seth rollings una malizia na fin ballor
 
Inaitwa END OF DAYS hunyanyuki ukipigwa ile Corbin namkubali sana.
Kwa mademu namkubali sana yule Big NIA JAX...sijui why namuona sexy sana..natamani angekuwa demj wangu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]
Awe anakup mangumi (Nia Jax)
 
Kwa mimi Asuka ananiuaga..... Hasa akiingia na manjonjo yake yale.... Ananimaliza pale akivua kinyago chake alaf anakishusha kidogo kwenye meno.... Anakuwa km anaking'ata kwa mapoz huku akirembua basi mwenzio mie chaliiiii!!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Eti hizo MBC power , MBC Action Sony Max unaweza kunipa ratiba zao za kuonyesha inawezekana nanyima uhondo bila kujua
Hawa wote wanakuwa nyuma sana dstv na AFN sport2 wanaonyesha live na marudio latest
 
Nataman kuona pambano la Asuka na Ronda rozy... Wakipangwa hawa sjui atapigwa nan
 
Duh!!....The big dog ajipange kwa kweli Lesnar siyo mtu wa mchezomchezo,juzi Kane amepigwa ndani ya sekunde 25 tu na Brock Lesnar!...Alichezea suplex mbili kisha akala finishing ya fasta!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…