Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
- Thread starter
-
- #361
Huyo Big dog hata akatambikie kwao hawezi mpiga lesnarDuh!!....The big dog ajipange kwa kweli Lesnar siyo mtu wa mchezomchezo,juzi Kane amepigwa ndani ya sekunde 25 tu na Brock Lesnar!...Alichezea suplex mbili kisha akala finishing ya fasta!!
Sasa mkuu ina maana hakuna wa kumnyang'anya Lesnar ule mkanda??....kwa sababu hata Strowman hana uwezo wa kuhimili suplex mbili!!Huyo Big dog hata akatambikie kwao hawezi mpiga lesnar
Kafa lini nakati juzi katoka kupigana na roman reignsIv ni kweli undertaker amefariki!?
Ilikua live au recorded! Habari ya kifo nilipata wiki iliyopita.Kafa lini nakati juzi katoka kupigana na roman reigns
Ilikiwa live mkuu.... Ingia youtube utaliona hilo pambano ni la fabruary kama c marchIlikua live au recorded! Habari ya kifo nilipata wiki iliyopita.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Duh!!....The big dog ajipange kwa kweli Lesnar siyo mtu wa mchezomchezo,juzi Kane amepigwa ndani ya sekunde 25 tu na Brock Lesnar!...Alichezea suplex mbili kisha akala finishing ya fasta!!
Jamaa anavyokurusha huwa anakata mawasiliano kati ya ubongo na kiwiliwili....Sasa mkuu ina maana hakuna wa kumnyang'anya Lesnar ule mkanda??....kwa sababu hata Strowman hana uwezo wa kuhimili suplex mbili!!
Nani alipigwa hapo mkuuKafa lini nakati juzi katoka kupigana na roman reigns
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa anavyokurusha huwa anakata mawasiliano kati ya ubongo na kiwiliwili....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kuna pambano fulani hivi alipigana na john cena john cena alichezea mpaka jamaa akawa anacheka tu huku akimuonea huruma[emoji23][emoji23][emoji23]
Anakurusha angani then anaiachia gravity ikupunish!!Kuna pambano fulani hivi alipigana na john cena john cena alichezea mpaka jamaa akawa anacheka tu huku akimuonea huruma
Undertaker alistaafishwa na Roman reign raw.Ilikua live au recorded! Habari ya kifo nilipata wiki iliyopita.
Unajua mnatakiwa mfaham kitu kmoja, upiganaj ule c maigizo, but ile ni biashara xo lazma waandae stories before pambano( I mean bifu au bongo tunasema kiki).Zaman nlikua naupenda sana huu mchezo ila nahisi n maigizo mengi had sasa siiangalii tena
Mwenyewe nlishangaa undertaker aliflatishwaNani alipigwa hapo mkuu
That is Real.... Wala hakuna maigizoUnajua mnatakiwa mfaham kitu kmoja, upiganaj ule c maigizo, but ile ni biashara xo lazma waandae stories before pambano( I mean bifu au bongo tunasema kiki).
Hii inafanywa ili kuvuta ladha ya shabik kutazama pambano,,, but the fighting is real