Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Your opinionall these are carefully trained to stage the fights. Still someone could get easily hurt, because the interaction and kicks are real. At times the real blood goes down to the carpet, but mostly all those amazing tricks are not real and just staged.
Your opinion
Kwaiyo unataka kuniambia hata mashabiki wanaoangalia live uanjan wanaona maigizoCamera zina roll haraka sana si rahis kuona...ila mapigo yabwale jamaa ni ya kijanja janja sana,,,hujiulizi boxer kavaa gloves lakin konde linakuchana uso?
Angalia hyo link niliyokuwekea hapo..halafu tafuta clips za hulk Horgan akiichambua vizur mielekaKwaiyo unataka kuniambia hata mashabiki wanaoangalia live uanjan wanaona maigizo
Zile finishing zilivyo za kikatili kama vile Sister Abigail au ile ya Finn Balor au ile ya Baron Corbin au ile ya the viper mtu anawezaje kusema kuwa yale ni maigizo??!That is Real.... Wala hakuna maigizo
Asuka namba nyingine..... Nia jax analia Km mttAsuka is nothing,amejikita kwenye kuvunja watu mikono!!....Alichomfanyia baunsa wangu-Nia jax Mungu anamuona!....Mwarubaini wake upo,Alexa yupo tayari kuvunjwa mikono ila atakufa nae!
Nia jax ni kweli amelia kama mtoto but Asuka she rather stay away from Alexa!....Alexa yupo tayari kuvunjwa mikono yote miwili huko wrestlemania ila atakufa nae kwenye kutetea mkanda wake wa universal championship!!Asuka namba nyingine..... Nia jax analia Km mtt
Let's see..... Coz up to now Usuka is undefeated.Nia jax ni kweli amelia kama mtoto but Asuka she rather stay away from Alexa!....Alexa yupo tayari kuvunjwa mikono yote miwili huko wrestlemania ila atakufa nae kwenye kutetea mkanda wake wa universal championship!!
Mimi nafurahi tuu jinsi Miz anavyoonewa na Kurt Angle!!.....Sasa hivi anatakiwa kudefend mkanda wake wa intercontinental against Finn Balor and Seth Rollins huko wrestlemania!![emoji23][emoji23][emoji23]Let's see..... Coz up to now Usuka is undefeated.
Mitz ni mpiganaji mzuri na anateknik nyingi..... Na sifa yake kuu ni kujisifu..... Anaweza kukupiga bit ukajikuta kashakushinda nje ya ulingoMimi nafurahi tuu jinsi Miz anavyoonewa na Kurt Angle!!.....Sasa hivi anatakiwa kudefend mkanda wake wa intercontinental against Finn Balor and Seth Rollins huko wrestlemania!![emoji23][emoji23][emoji23]
Mitz kinachomsaidia sana ni vile vijamaa vyake!.....Mitz wakienda one to one na mtu kama fin balor au Seth Rollins anapigwa ila vile vijamaa vyake vikiwepo hawezi kupigwa!...ili umpige Mitz unatakiwa uvichakaze kwanza vile vijamaa vyake!.....vile vijamaa ni msaada mkubwa sana kwa mitz!!Mitz ni mpiganaji mzuri na anateknik nyingi..... Na sifa yake kuu ni kujisifu..... Anaweza kukupiga bit ukajikuta kashakushinda nje ya ulingo
Mitz comedianMitz kinachomsaidia sana ni vile vijamaa vyake!.....Mitz wakienda one to one na mtu kama fin balor au Seth Rollins anapigwa ila vile vijamaa vyake vikiwepo hawezi kupigwa!...ili umpige Mitz unatakiwa uvichakaze kwanza vile vijamaa vyake!.....vile vijamaa ni msaada mkubwa sana kwa mitz!!
[emoji23][emoji23][emoji23]......dawa yake ni Broun Strowman!Mitz comedian
Alisha fariki huyuKuna Black linaitwaga Umaga, hatari sana hili likiumbe
Hivi Great Carl yupo pande zip... Kuna kipind tulimeet arizona alikuwa ana choma mahindi [emoji12] [emoji12]Aliasha fariki huyu
[emoji3] [emoji3] wewe jamaaHivi Great Carl yupo pande zip... Kuna kipind tulimeet arizona alikuwa ana choma mahindi [emoji12] [emoji12]