Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
- Thread starter
-
- #421
Hivi kwann kila mtu asiwe na vijamaa vyake au kuna sheria inakataza... Mbona mahal ana vyake, miz anavyake.. Je kila mtu akitaka anakubaliwaAtauchukua huo mkanda kupitia fitna!....atakuwa anawatumia vile vijamaa vyake kumdistract the viper!
HatariNina furahi the bar watakutana na the monster among men huko wrestlemania![emoji23][emoji23][emoji23]....huwa nafurahi sana watu jeuri wakikutana na jeuri mwenzao!
Kwa kisimbuzi kip??Emu naombeni muda na siku maalumu pamoja na chanel za wwe
natumia app za sim kiangalia vipndKwa kisimbuzi kip??
Alexa hana kitu huyo, hata fair play hajui.kazi kusaidiwa na yule Rafiki yake.Asuka is nothing,amejikita kwenye kuvunja watu mikono!!....Alichomfanyia baunsa wangu-Nia jax Mungu anamuona!....Mwarubaini wake upo,Alexa yupo tayari kuvunjwa mikono ila atakufa nae!
Hahaah...Unachekesha mzee, itakuwa humjui Alexis na janja janja zake.Nia jax ni kweli amelia kama mtoto but Asuka she rather stay away from Alexa!....Alexa yupo tayari kuvunjwa mikono yote miwili huko wrestlemania ila atakufa nae kwenye kutetea mkanda wake wa universal championship!!
Huyu shemus ni mtu wa kuvuluga gem tu, anapenda kumhalibia the big dogPale unapopanda juu ili ummalize the big dog halafu the big dog anakupokea kwa spear!....Pole sana Shemus!!
Shemus na cezoro wale jamaa nawakubali Sana... Hasahsaa cezoroHuyu shemus ni mtu wa kuvuluga gem tu, anapenda kumhalibia the big dog
Na Wewe upo huku???Hahaah...Unachekesha mzee, itakuwa humjui Alexis na janja janja zake.
She is nothing Compared to Asuka.
Kwanza umewahi kuangalia mpambano wao?
Hahahaah, Why hupawezi mkuu?Na Wewe upo huku???
Huku ndio sipawezi kabisa
Nimeamini kila mtu ana kitu akiuhusuduchoHahahaah, Why hupawezi mkuu?
Is just an Entertainment.
Nimeanza nayo Kitambo sana, Toka Secondary... Enzi hizo tunagombania kuangalia Aidha MIELEKA au MPIRA..hahha
Ilikuwa full patashika, Na TV ni moja tu ya Shule...hahhahaha
Hahahahha. Kweli mkuu.Nimeamini kila mtu ana kitu akiuhusuducho
Tar 08 April mkuu.... Hii haitakiwi kukosa.... Hivi reigns atampiga Lesnar Kweli?Wadau wreslemenia Lini?nasubiri sana pambano la Brock lesnar the beast na Roman reigns.namkubali sana Brock lesnar kuliko maelezo ila naona roman anafanyiwa figusi za kuchukua mkanda
ASUKA ndo kila kitu..... Hakuna wa kumdefeat Huyu mdadaAlexa hana kitu huyo, hata fair play hajui.kazi kusaidiwa na yule Rafiki yake.
Uzuri wa Asuka, anacheza Fair play sana na anashinda kihalali.
Sio huyo Alexis wako.
Atapigwa tu.( labda wanchangie na huyu Rafikiye)
Kuhusu kuvunja mtu mkono, kila mtu na Style yake.
Eleza anapendelewa vipi?Asuka anapendeleea sana binafsi sijaona cha ziada.