Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kwenye mpambano na akina Finn balor huyu kijana wa Kurt angle Jason Jordan sikumuelwa ni kama alitaka Seth rolinns apigwe na Finn balor
 
WWF kipindi hicho ndo ilikua kali,siku hizi wanafanya upuuzi tu.

Najua watoto WWF watakua hawaijui.
 
Yule Daniel Bryan hakufanya fair kupanga Kelvin Ownes na Samy Zain kupambana na AJ Styles......... Sjui kwann wanamuonea AJ Styles
 
Kwenye mpambano na akina Finn balor huyu kijana wa Kurt angle Jason Jordan sikumuelwa ni kama alitaka Seth rolinns apigwe na Finn balor
hivi ile finishing style ya Finn balor ya kumrukia opponent kifuani inaruhusiwa kweli??.....Alimrukia Seth rollins juzi yaani Seth rolinns alilia kama mtoto!!
 
Kwenye mpambano na akina Finn balor huyu kijana wa Kurt angle Jason Jordan sikumuelwa ni kama alitaka Seth rolinns apigwe na Finn balor
Kale kajamaa kadaliti asee...... Alafu skapendi kanajifanya kanajua..... Unajua nn kanalzimisha kujiunga na kina Roman lakini hawakitak. .
 
Duu sisi wa enzi zetu wengi wametangulia mbele ya haki
Nilikuwa mpenzi sana wa mieleka enzi hizo za 80s mhengaaa
 
hivi ile finishing style ya Finn balor ya kumrukia opponent kifuani inaruhusiwa kweli??.....Alimrukia Seth rollins juzi yaani Seth rolinns alilia kama mtoto!!
Ile hairuhusiwi mzee..... Maana vile unaeza ukaua..... Ila ye alichukulia advantage refa alikuwa bize na mambo mengine...... Ila mi nilifurahi sana waliposhinda
 
tarehe 10 january 2018 ilikuwa brock lesnar na Braun strowman . kapigwa strowman kama mliona
 
Star times ni namba ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…