theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Jamaa anaongea sana ila ushindi wake mara nyingi huwa ni wa kubahatisha....Daah tutakuwa hatukai Sasa kwa matambo
Hana uwezo wa kukaa na huo mkanda kwa siku mbili walahi!.....Jamaa alikuwa anasuasua sana WWE ila sasa hivi credit zitakuwa zimepanda!Daah tutakuwa hatukai Sasa kwa matambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daah tutakuwa hatukai Sasa kwa matambo
Yule tall aliepigana na Asuka anatakiwa akutane na Ronda sasa!!Katika mechi Zote paka sasa nimeipenda ya kina triple H curt angel na Ronda Rousy, da Huyu dada balaa
dah.! haya mashetan kama yameundwa kwa zege mazito kinomaWale wauaji wamechukua mkanda ila USO nawasifu sana kwani wamejitahidi kidogo kuwapa kichapo compare to new day!.....USO na new day wasahau mkanda wa tag team kwa sababu haya mashetani hayatauachia ng'oo!!
Asa siku Zote analialia nn anamtaka undertaker Kumbe hata hamweziCna kapogwa kama mtt
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ili jamaa n hatar cna kanifraisha alivyo kuta limeamka alitaka kurudThe dead man is rise... Undertaker
[emoji23][emoji23][emoji23]dah.! haya mashetan kama yameundwa kwa zege mazito kinoma
you can't see me leo undertaker ameiyeyusha!![emoji23][emoji23][emoji23]CENA vp
alikua anaogopa kabla ata mechi kuanzaAsa siku Zote analialia nn anamtaka undertaker Kumbe hata hamwezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa alitaka kukimbiayou can't see me leo undertaker ameiyeyusha!![emoji23][emoji23][emoji23]
yule big amelibeba akabaki anaweweseka[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]yule big amelibeba akabaki anaweweseka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya majamaa cyapend ila kipigo chao nakielewa[emoji23][emoji23][emoji23]