Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
TNA huko ndiko chimbo la 2 la wanaotoka WWEBob Lashley juzi nimetokea bahati mbaya kumwona TNA, ilitokea nimekaa bar wakaweka channel yao.
Mzee wa spear huyu. Niliacha muda sana kuwaangalia WWE.
Anataka kusema finishing Kali kwa Sasa WWE ni ya Fin balorKtk wrestling finish kali
1. Fin balor, ya kuruka na miguu
2. Msumali (R.I.P) ya the undertaker
3. R.K.O randy orton
4. Spear (Bob lashley, Golberg, Edge, & Roman reign
5. Triple H
Hizi ni finish kali ambazo ukiitumia mmoja wapo uhakika wa kushinda ni 99.9 na 1% ya kuchomolewa.
Ndiyo. Hiyo ndiyo inashika namba 1 kwa sasa. Mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyeichomoa.Anataka kusema finishing Kali kwa Sasa WWE ni ya Fin balor
Liliumia katikati ya pambano Asuka tupo njema sana
Wazo zuri... Itabidi wadau walifanyie kaziHivi mieleka naweza kuwekea mkeka?
Daah nampenda sana Asuka...... Hivi ana undugu na NakamuraLiliumia katikati ya pambano Asuka tupo njema sana
Kwa dstv jeKama una king'amuzi cha azam tv fuatilia kwenye channel ya MBC action kila siku ya jumapili,jumatatu na jumanne kuanzia saa tatu kamili usiku!....Pia channel ya MBC power plus huwa inaonyesha
DSTV ndo baba lao,wana special channel kwa ajili ya mieleka tu(wwe) inayoitwa WWE,24 hours ni wrestling!![emoji116]Kwa dstv je
Yaah of course, pia super sport 5 wanaomeshaga live.... Ila supersport 9 na 10 wanaomeshaga marudio usikuDSTV ndo baba lao,wana special channel kwa ajili ya mieleka tu(wwe) inayoitwa WWE,24 hours ni wrestling!![emoji116]
Liliumia katikati ya pambano Asuka tupo njema sana
Bob lashley alihamia ule mchezo wanaopigana ngumi na mateke na kuumizana sana, kule kwa kina conor mcGregorBob Lashley juzi nimetokea bahati mbaya kumwona TNA, ilitokea nimekaa bar wakaweka channel yao.
Mzee wa spear huyu. Niliacha muda sana kuwaangalia WWE.
Ongezea na ile kabali ya samoa joeKtk wrestling finish kali
1. Fin balor, ya kuruka na miguu
2. Msumali (R.I.P) ya the undertaker
3. R.K.O randy orton
4. Spear (Bob lashley, Golberg, Edge, & Roman reign
5. Triple H
Hizi ni finish kali ambazo ukiitumia mmoja wapo uhakika wa kushinda ni 99.9 na 1% ya kuchomolewa.
Kahamia kwenye movies kwa sasa kama the rockBatista yuu wapi??
Nimeisahau. Si unajua hawa jamaa juzi tu wametoka TNA wakiwemo yeye, Aj styles, Bob Roode (mzee wa glorious) na DrewOngezea na ile kabali ya samoa joe
Huyu jamaa yupo vizuri sana ila kinachomcost hana finishing kali ndiyo maana anashindwa.Aseeh lile jitu linaloitwa brawn strowman linatisha kwasasa hakuna jitu lenye nguvu kama lile wwe