NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,939
Hawezi MIZ amekuwa drafted SMACKDOWN na ule mkanda ni wa RAW.Natabiri Miz kurudisha mkanda wake wa Intercontinental
Those days when Wrestling was wrestlingMacho man
Gold berg
Kelvin Nash
Lex Luger
Sting
Undertaker
Miz yuko smackdown now so.lazima ashindwe sababu intercontinel belt ni wa RAW
Hawezi MIZ amekuwa drafted SMACKDOWN na ule mkanda ni wa RAW.
Nadhani mkanda wa USA ndio uko SMACKDOWN
Hiki kijamaa ni kitapeli hakina uwezo kabisa, alishinda tuu kwa sababu ya akina mr. Raji (bolive na mwezie) akiwa mwenyewe ni fala kabisaaMiz akishinda anarudi RAW na Seth anaenda Smack down
Utashangaa leo the miztourage Wapo uwanjani,Hiki kijamaa ni kitapeli hakina uwezo kabisa, alishinda tuu kwa sababu ya akina mr. Raji (bolive na mwezie) akiwa mwenyewe ni fala kabisaa
Wakiwepo hao ni tatizo tayari anaweza chukuaUtashangaa leo the miztourage Wapo uwanjani,
Kiukweli the miz simpendi kwa sababu ya janja janja zake
Backlash ni event inayokutanisha superstars kutoka brand zote 2 yaani Raw & smackdown, ndo mana Roman from Raw anapigana na Samoa from smackdownMiz yuko smackdown now so.lazima ashindwe sababu intercontinel belt ni wa RAW
Channel inayoonyesha ni WWE network mkuu!Kwenye Redbox channel gani mzee??
Hata hivyo Samoa joe alikuwa fit sana leo!!Roman amegawa kipigo kwa Somoa Jo
Broo IC ni ya seth, mtu wa kumuwazia kumnyang'anya ni fin balor,, sio mizNatabiri Miz kurudisha mkanda wake wa Intercontinental
Hata finn balor atasubiri sana!!Broo IC ni ya seth, mtu wa kumuwazia kumnyang'anya ni fin balor,, sio miz
Bora umefafanua maana nilikuwa najiuliza sana inakuwaje mshindi ni Brock?Halafu wamepora ushindi wa Roman reign kwa sababu yeye ndiye miguu imeanza kugusa chini!....Sheria haisemi alieanza kutoka kwenye cage ndiye mshindi bali alieanza kugusa chini kwa miguu yake ndiye mshindi kama ilivyokuwa kwa Roman!....hata makomentetor wanasema kuwa huo ushindi wa the beast ni controversial!
Mkuu roman hakuamua tu,, angemwamulia amchape kipgo alichompa lesna, [emoji23] mbn dakk 10 zingekua nyingi!!!Hata hivyo Samoa joe alikuwa fit sana leo!!
Ila jamaa lilistahili, kwa Yale manguvu lingeshindwa ingekuwa ajabu sana.Braun stroman kabeba Royal rumble