Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
AzamTV ni channel 208 MBC plus powerChanel gaNi wanaonesha?? Nipe ratiba kamili.natumia kingamuzi cha azam
Bobby Rudy GloriousUndertaker, Rest in peace
John Cena, time is now
Fin Balor , catch your breath
S.Nakamura, the rising sun
Edge, Metalingus
Hizo ndio the best entrance theme song!!
Mkuu kumshinda Seth labda umuue, yule ni mbishi... Nashaa F.Barlo anamtoa jasho StrawmenBrock asije kupigana na seth maana anaweza kumuua jamaa hanaga masiara ata kidogo.huyu seth aendelee kuruka ruka visarakasi vyake na kina fin balor.kwa kifupi hamna sasahv wa kumpiga brock lesnar mnyama mwenyewe the beast
mkuu hawa mbc wanaboa sana, me huwa naangalia UTubeAzamTV ni channel 208 MBC plus power
RAW ni Jumatatu saa 6:00 usiku, marudio ni kesho yake J4 saa 10:00 jioni
Smackdown ni Jumanne 6:00 usiku, marudio ni kesho yake J5 saa 10:00 jioni
NB: sio live wanachelewa wiki moja kabla...kwa mfano Leo wataonyesha smackdown ya tar 28/05/2018
Azam hawaonyeshi live!....DSTV wanaonyesha live kila siku ya jumatatu na jumanne kuanzia saa tisa ya usiku hadi saa moja asubuhi supersport 8 kwa kifurushi cha 19,000/= tu kwa mwezi!Chanel gaNi wanaonesha?? Nipe ratiba kamili.natumia kingamuzi cha azam
Oooh yeaah,,,now you're talking nigger. the altitude and aggression era. kipindi hicho smack down iko on fire. we had monsters back then in wrestling business. PG era sucks. nawakumbuka hawa jamaa, The mankind(mike foley), KING KONG, THE BANDIT, CHRIS BENOIT, BATISTA, BILL GOLDBERG, SCOTT STAINER a.k.a The Big papa pump, TAZZ, EDGE etchii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
Sijatisha mtu boss, nilikuwa namwuliza muungwanaNjoo na hoja, usitishe watu apa
et unajua mieleka???
Hahah..JF ni archieve kubwa. That's why bado tunajadili topic za zamani. Amani iwe nawe mkuuUmefufuka kutokea wapi mkuu unaquote comment ya january leo june??!....Seriously?
Prof unajipinga na kujicontradict mwenyewe ndiyo maana hapo juu umekiri kuwa wewe siku hizi huangalii tena mieleka na umehamia kwenye car rally kwa hiyo dhana ya kwamba wewe ni mfuatiliaji wa mieleka haipo ni better ukatuachia uzi wetu sisi wafuatiliaji,na hili linadhihirishwa kwa upotoshaji uliofanya kwenye comment yako hapo juu kama vile kusema eti the shield wamekufa kwa sababu hawakuwa ass kisser,the fact ni kwamba the shield wamekufa baada ya Ambrose kuumia!......Cha kukushauri ndugu yangu anzisha tu uzi wako wa car rally kwa kuwa mieleka hufuatilii tena!!....hapo mwisho naona umeniomba msamaha, kwa kifupi we don't need excuse here,we need fact and consistency!Sijatisha mtu boss, nilikuwa namwuliza muungwana
Behaviourist kama anajua undani wa kinachojili kwenye wrestlings. Anyway, wrestling iko staged na kuna maigizo ya hapa na pale. when a wrestler lose his/her title may turn into heel promo just to create a feud with the champion and keep the intensity high. Huo ndo utamaduni wa Wrestling kuanzia hapo zamani ikiwa WWF and WWE of today. Mshindi wa Money in the Bank ana haki ya ku-cash his money kwenye pambano lolote na akishinda atakuwa World Heavy weight Champion ile kufumba na kufumbua. Wanaopenda hiyo staili ni The-MIZ na Alberto Delio, hata Sheamus off course.
WWE inaharibiwa na Triple H na mkewe Stephen McMahon especially kwenye masuala ya management. Hapo nyuma vilikuwepo vipaji vikubwa kama Ryback na CM Punk lakini they couldn't get far kwa kuwa weren't ass kissers.Jiulize the Nexus wako wapi? jiulize kundi la "the Shield" liko wapi? wame-separate and they're no longer threat to WWE.
Nimeangalia mieleka about thirty years now...sioni jipya tena. siku hizi siangalii tena. Nimehamia kwenye Car Rally and UFC.
Natanguliza samahani kwa mdau
Behaviourist
[emoji23][emoji23]Prof unajipinga na kujicontradict mwenyewe ndiyo maana hapo juu umekiri kuwa wewe siku hizi huangalii tena mieleka na umehamia kwenye car rally kwa hiyo dhana ya kwamba wewe ni mfuatiliaji wa mieleka haipo ni better ukatuachia uzi wetu sisi wafuatiliaji,na hili linadhihirishwa kwa upotoshaji uliofanya kwenye comment yako hapo juu kama vile kusema eti the shield wamekufa kwa sababu hawakuwa ass kisser,the fact ni kwamba the shield wamekufa baada ya Ambrose kuumia!......Cha kukushauri ndugu yangu anzisha tu uzi wako wa car rally kwa kuwa mieleka hufuatilii tena!!....hapo mwisho naona umeniomba msamaha, kwa kifupi we don't need excuse here,we need fact and consistency!
Mbona unapapatika mzee....Lini umeshaskia Lesnar ana bifu na jinder mahali....Mtafute mwenye bifu na Maharaja Jinder Mahali kwa sasa ndo level yake.Yani huwa nashangaa sana wale mashabiki wa Lesnar wanavyosema Lesnar ni bora kuliko Roman.. Kwa sasa level ya lesnar ni kama Jinder Mahar, Fin barlo, Samoa Joe, Elias, Boby Lashley... Kwa sasa natamani kuona Roman akipigana na Strawman japokuwa Strawmen aliwahi kupewa kichapo cha mbwa koko na Roman mpaka akaingizwa kwenye gari then Roman aligongesha kwa nyuma...... nina mashaka hata Fin Barlo anaweza kumtoa jasho Lesnar kama ambavyo huwa anamtoa Strawmen.
Mkuu wapi nimeandika neno "BIFU" kati ya Jinder na Lesnar?????? tuanzie hapo kwanza...Mbona unapapatika mzee....Lini umeshaskia Lesnar ana bifu na jinder mahali....Mtafute mwenye bifu na Maharaja Jinder Mahali kwa sasa ndo level yake.
Watu wenye level moja ndo huwa wanapandishiana kifua.....Lini ushaskia Maharaja akimtambia Lesnar.....Anatafuta wa level zake ndo anamzingua.Mkuu wapi nimeandika neno "BIFU" kati ya Jinder na Lesnar?????? tuanzie hapo kwanza...
Channel inayoonyesha ni Amen kwa Watu wa Magharibi mwa tz kwa wengine ni Afn sport 2Chanel gaNi wanaonesha?? Nipe ratiba kamili.natumia kingamuzi cha azam
Hiyo mbc iko free mtafute fundi akufungieAzamTV ni channel 208 MBC plus power
RAW ni Jumatatu saa 6:00 usiku, marudio ni kesho yake J4 saa 10:00 jioni
Smackdown ni Jumanne 6:00 usiku, marudio ni kesho yake J5 saa 10:00 jioni
NB: sio live wanachelewa wiki moja kabla...kwa mfano Leo wataonyesha smackdown ya tar 28/05/2018
Hujaeleweka chiefHiyo mbc iko free mtafute fundi akufungie
Namaanisha hio channel inaptikana free sio mpaka ulipie kwa vingambuzi.Hujaeleweka chief
Free from where....!!Namaanisha hio channel inaptikana free sio mpaka ulipie kwa vingambuzi.
Kwa satelite dish kikubwa uwe na resever ya free to Air na dish la kuanzia ft 4 na kuendeleaFree from where....!!