Wadau wa mifuko mbadala hii fursa mujaichangamkia.

Hehe heee

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Posts
213
Reaction score
186
Hemu tujaribu fikiri kidogo hapa, wanasema ukiwa na pesa huna idea na ukiwa huna pesa unakuwa na idea.

Mifuko ya plastic imekatazwa sasa fursa ipo hivi...mie nasoma chuo mipango hapa mipango sijaona vibebeo mbadala nilimuuliza muuza chakula hivi kuanzia tarehe moja mutamuuziaje mwanafunzi anayebeba wakasema atakuja na kontena(chombo cha plastik)...ishu ipo hivi ni wengi wanaofunga chakula je watanunua mabakuri eti.

Fursa
Wanaotengeneza mifuko ya karatasi fanya hivi tengeneza mifuko yenye shape ya Bakuri duara ambayo inapanuka kuelekea juu then ndani iwekwe material yoyote nyembamba iliyo kama naironi ila sio kuzuia mfuko kuloa ambayo ukiweka ubwabwa mchuzi, ugari mchuzi, mchuzi, urojo nk mfuko haualibiki wala kuloa pia chakula kiwe safe.

Kwanini mfuko uwe na shape hiyo, ili muweka chakula apate irahisi na mlaji atakula kirahisi.

FURSA
_Ukiweza kufanya hivyo tu nicheki utakuwa na uwezo wa mufuko yako idadi ya 600 minimum kwa siku tu kutumika kwa makadirio niliyo piga kwa eneo nalopatikana. Sijapiga maeneo mengine yanayofanana na nilipo(fumbo).

Ukiweza kufanya then utanicheki tukae meza moja, itapendeza ikiwa kwabla wajaanza ku-adopt mfumo.
 
kuna plate za karatasi kwenye masupermarket,ambazo zinafaa tu kufungia chips zege,unafunga kwa plasticwraper,ila chips inabidi iuzwe bei juu kufidia packaging
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…