Wadau wa mikopo ya dharura

Ok, according to what you think you mighty be right

Ipo hivi....Kisheria lazima uwe umesajiliwa kutoa huduma za kifedha....pia riba ya 20% kwa mwezi na sawa na 240% kwa mwaka ni haramu kwa sharia...nilikuwa nakutahadharisha ukimkuta mjuaji umeliwa....
 
Wasikukatishe tamaa ndugu yangu, kama kweli ni mtafutaji huwezi kukaa na pesa bila kuizalisha, na pesa inatafutwa kwa njia tofauti nia ya kila mtu ni kupata mark up, haijalish ni kwa njia gani. Nakutia moyo endelea na biashara yako, huwez kufikha kumi kabla ya moja, utbnza kidogo kidogo badae utakuwa na coy kubwa sana
 
Ipo hivi....Kisheria lazima uwe umesajiliwa kutoa huduma za kifedha....pia riba ya 20% kwa mwezi na sawa na 240% kwa mwaka ni haramu kwa sharia...nilikuwa nakutahadharisha ukimkuta mjuaji umeliwa....

Umemuelewesha vizuri sana.

Halafu harufu y Utapeli kwa huyu jamaa.
Kwa maana ameanzisha kitu kutapeli bila usajili wowote,then anataka wengine waingize mitaji yao kwa tapeli mkuu.

Maana kama return ni nzuri basi wala usingetaka watu kujiunga na wewe.Maana hata hao waliopo juu yako wanaenda kivyao tu,na wala sio kwamba kuna Customers wa kivile.

Kwa ufupi unafanya biashara ya wizi,utapeli na kharam
 
Mimi nahitaji huo mkopo ndugu yangu. Niambie utaratibu ukoje natahitaji kama milioni 12. Kila mwezi nitarejesha ngapi pamoja na riba.
 
hiyo biashara ni haramu.. na wizi mtupu..

endelea kufanya kienyeji enyeji mwenyewe ili siku ukienda jela uwe peke yako.

mi nina amini kwenye clean business, utajiri wa wizi hauna amani wala furaha moyoni...

kuwa mbunifu na ufanye clean business na kuifanya dunia izidi kuwa mahali salama na pazuri kwa kuishi kwa huduma yako
 

Haya mawaidha tosha kaka.
Mungu akujaalie kila la kheir na akupe wepesi katika maisha yako na akufungulie rizki kwa wepesi"AMEEN"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…