Kuvaa muhimu sana.Naona chini Jeep kali sana.
😆😆😆 Kazi kaziKibabe sana
High top 🔥🔥
Umenunua wapi hiki kiatu?.
kumbe wewe bosi
😂😂😂bosi wa wapi tena jamani😒kumbe wewe bosi
sasa mbona umevaa kibosi😂😂😂bosi wa wapi tena jamani😒
Nimeona tu nishtue umasikini😂😂😂😂sasa mbona umevaa kibosi
Tunasubiri mkuuNgoja na Mimi ni pige kapicha