Wadau wa Mitindo: Umevaa Kiatu gani Leo?

Huku umetokea wapi tena Manyanza?πŸ˜€
Nimemkumbuka Mchizi wetu Mad Max anayeugulia maumivu ya kuambiwa it is over na GF wake ni search ukaja huu uzi wake nikawa na scroll ndio nakuta picha hiyo Ni Kufinishiiiii 🀣🀣🀣
 
Jaza nafasi zilizoachwa wazi🀣
πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
Napenda kupiga chabo nisaidie tu 🀣🀣🀣
 
Nimemkumbuka Mchizi wetu Mad Max anayeugulia maumivu ya kuambiwa it is over na GF wake ni search ukaja huu uzi wake nikawa na scroll ndio nakuta picha hiyo Ni Kufinishiiiii 🀣🀣🀣
Oooooooh....
Msemo wa majirani zetu Wakenya
Ni kufinish Kumalo🀣
 
πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
Napenda kupiga chabo nisaidie tu 🀣🀣🀣
Itakuwa ngumu...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…