kWambaaa?😂 focus na Viatu mdogo wanguhiyo miguu tu, kichuguu vipi😋
Jikite kwenye mada jamani,. Focus na kiatu🤒🤒Hapa kifusi kipo cha kutosha
Mguu umethibitisha
unanyima nini wewe, come on!mdogo wangu
Toka huko,. Weee ukirudia tena nakushikia fimbo🤒unanyima nini wewe, come on!
unanifukuza kama pepo mchafuToka huko,. Weee ukirudia tena nakushikia fimbo🤒
Hiii jamani sio kweli,.unanifukuza kama pepo mchafu
dah
Kiatu kizuri sana hiki huwa namuona a Pep Guardiola au Arteta wamevivaaHata kwenye sherehe nishindwe kupendeza pia no way
View attachment 3228106
Naam hiki kipo poa sana mguuni kinaitwa BELLONARKiatu kizuri sana hiki huwa namuona a Pep Guardiola au Arteta wamevivaa
Napatikana Jijini Dar mkuuUnapatikana wapi mkuu,. Vitu vyangu kabisa hivi
Viatu vya walimu hatimaye mmefikiwaNichangie boss
View attachment 3028069
Asante chief tumefikiwaViatu vya walimu hatimaye mmefikiwa
Tulia utaonaYonesa kidu kyako meku. Chaliifrancisco
ledada una mitupio wewe
🤣🤣🤣 ila Mshambaledada una mitupio wewe