Wadau wa Mitindo: Umevaa Kiatu gani Leo?

Ina material kama sued hivi natoka bomba sana nikila na jeans na t shirt na saa mkononi😀😀 mbona utanitaka binti
kumbe hizi ndio clerk! kinaonekana ni kitamu! Eti ntakutaka,kwa hizo codes lazima nidate! saa hizi nikikutana na kijana kakivaa ntakuwa namuangalia angalia! 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…