Kaundaa on π₯Hapa hata ukigombea ubunge unapita bila kupingwa.
Hiii miguu Mbona kama sio yako π π π
π€£π€£π€£π€£sawa Mkuu...Asee Kwa mguu huo ukichelewa kurudi sina Amani kabisaaaa π₯³
Wauzaji wanabubujikwa machozi ya furaha π€£Hiki kiatu kipewe ulinzi
Nasema hiviii hata Boda nitamwona ananichelewesha ππ€£π€£π€£π€£sawa Mkuu...
130,000 hiyo mzee babaHii haifiki Laki?
Suruali imepauka kaka au ndio rangi ake
Ngoja nami nitupie kiatuHaya ladies tunaochaguaga wachumba kwa kuangalia viatu njoeni hapa....tuchague tuzame pm chaapππππ
Fanya chap kabla sijamzamia mwingine pm π€£Ngoja nami nitupie kiatu
Mimi na clacks ni damu damuView attachment 3028327View attachment 3028328
Hiyo ni jinzi kaka siyo kitambaaSuruali imepauka kaka au ndio rangi ake
Mzee wa system sio?Samaki nchanga huyo .Mpaka bidhaa ziishe leoπππView attachment 3028039
System ya wapi mkuu? Hiyo kaunda isikutishe .Mimi nasambaza bidhaa majumbani na kwenye mataasisi.Mzee wa system sio?
Naona samaki nchanga katulia mahali pake.
Ewaaa bidhaa za virutubisho.Forever living product