Wadau wa mmu jamii forums ushauri kwa irene uwoya

Wanawake ndio walivyo Akili ndogo.. Kutoa kauli bila kufikiria.
 
who is irene uwoya?
mmmh kilaza flani hvi ametuzalilisha sana wanawake bwana kugombana na mume tu kidogo katema poison kubwa sana sijui itakuwaje bwana
 
uwo ni uoga wa fkira kumnyenyekea mwanamke ambae unajua akupend kwa dhati.ndo maana watu wanaonga nyumb magar na bado wanaumizwa na wanawake ambao sio faithfull.
 
nashindwa kuelewa watakuwa wanaishije tena humo ndani na mumewe jamani loh? mdomo huu ????????/
Wewe huoni kama ndio unatuletea udaku hapa gazetini? hujui kama alikuwa anaanda clip ya movie yake mpya aone nyinyi wapenda udaku mtaipokeaje!
Au umeshasahau kama Wema Sepetu na Diamond huwa wanaachana siku 2 na siku 3 wanarudiana? kwa kifupi hawa wote akili zao ni shake well before use, half empty glass.
 
Wanawake ndio walivyo Akili ndogo.. Kutoa kauli bila kufikiria.

This is unacceptable. There are three types of women

1). Intelligent ones (COE, Ministers, principla secretaries, University dons, and e.t.c)
2) Secretaries
3) Housegirls...

Which category are you refering??. Some of those in category one can do far better than you. Most men know that and you do not need a university degree.
 
uwo ni uoga wa fkira kumnyenyekea mwanamke ambae unajua akupend kwa dhati.ndo maana watu wanaonga nyumb magar na bado wanaumizwa na wanawake ambao sio faithfull.

Sijaongelea wanaume wanaohonga nyumba na magari kwa wanawake wasiowapenda.... nazungumzia reality, si tunawaona bwana
 
nashindwa kuelewa watakuwa wanaishije tena humo ndani na mumewe jamani loh? mdomo huu ????????/
Kwanini likusumbue hili besti?
We waacahie wenyewe watajua.Mambo ya wapendanao huwa ni very complicated hakuna anayeweza kujua ila wao wenyewe.
 
You would not defined them better than this!!!!
 
Sijaongelea wanaume wanaohonga nyumba na magari kwa wanawake wasiowapenda.... nazungumzia reality, si tunawaona bwana

ni ulimbukeni wa mawazo unawasumbua kwasababu since then til 2day akuna mtu alishaweka historia ya mapenz na wengne tunaambiwa tumuige kwasababu yeye alifanya at the max level .what i know mtu anae milik wanaume/wanawake weng anajsumbua 2 for short time!
 
we Kimey na Iribini hayo maswali muulizeni Paw....
Halafu mbona mnamuulizia sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…