Wadau wa mmu jamii forums ushauri kwa irene uwoya

unajua mi namlaumu sana shigongo na hivi vigazeti vyake vya udaku... watu wanaweza wakawa wanaumiza vichwa kumbe usikute hiyo stori imetengenezwa tuu ili wauze magazeti..... hakuna cha wameachana na wamerudiana...
 
au kweli sales approach ya global publisher? so wanampa dau au?
 
Matola u made me lol on the bolded phrase......

Tuongeza na ...'weka mbali na watoto'
 
au kweli sales approach ya global publisher? so wanampa dau au?
Smile unajihangaisha bure kujiuliza maswali yasiyokuhusu, wampe dau wasimpe wewe inakuhusu nini? Aachane na mumewe au arudiane nae pia haikuhusu mpendwa, maisha yenyewe haya utafuatilia ya wangapi? Ya ngoswe, mwachie ngoswe!
 
magazeti wanafki tu rudia hesabu za kutoa na kujumlisha umekurupuka miez 18 ni mwaka mmoja na nusu!.mwanamke ukishamlala awe ananipenda asinipende kwisha habari yake WAPO WENGI .

We kachaa kweli..
 
mi nafikiri binti akili zitakuwa zimeruka,huwezi kuachana na mtu hata kama amekuudhi unaanza kutoa siri zenu ya ndani?na siamini kama kweli alikuwa hampendi,kama hakumpenda huo muda walioishi ni mrefu sana je humo ndani kulikuwa kunakalika kweli?hizo chikeni party sorry kitcheni party huwa wanafundishwa nini hasa?maana hata siri ya ndani inakushinda kutunza sasa si ndo unakaribisha mashoga wakuibie mume?jamaa naye ana roho ya paka,maana udhalilishwaji aliofanyiwa bado yumo tu,mi naona hapo ni bora akili ya kuambiwa uchanganye na ya kwako.
 
tayari wamerudiana na maisha yanaendelea kama kawaa na gazeti la udaku ndio mpatanishi mkuu na ndio waliotangaza kutalakiana hapa ni usanii katka jumba la sana jamaa kakolea na mtt wa kibongo na huyu dada anajiona mzuri sana akumbuke kuwa walikuwepo wakina clepatraa

😛oa:spy: :focus:
 
magazeti wanafki tu rudia hesabu za kutoa na kujumlisha umekurupuka miez 18 ni mwaka mmoja na nusu!.mwanamke ukishamlala awe ananipenda asinipende kwisha habari yake WAPO WENGI .
Swadakta!!Kushney kabisa,tunaswitch kwa mwingine!Belivdat
 
yep, wapo baadhi.
 
Smile bibi naimani hujambo naomba uchanenae huyo dem chizi hamnamo kichani. hivi vipi ule mpango wako wakuwekwa nyumba ndogo umefikia wapi. kama hujawekwa speya tairi nilikwambia mimi ntakuweka nyumba kubwa nimekuzimikia mbona hunielewi jamni Dina nisaidie huyo mtoto hanielewi jamni naumia mimi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…