jesca.com Member Joined Jan 11, 2015 Posts 38 Reaction score 5 Mar 7, 2015 #1 habar wana michezo mi napenda sana kujifunza na kujua basketball sasa naomba uliza ni vifaa gani muhim niwe navyoo na pia huwa naskia lay up shoot three thrg sasa nauliza ni vitu gani muhim vya kuanza kujifunza ili nijue basketball!
habar wana michezo mi napenda sana kujifunza na kujua basketball sasa naomba uliza ni vifaa gani muhim niwe navyoo na pia huwa naskia lay up shoot three thrg sasa nauliza ni vitu gani muhim vya kuanza kujifunza ili nijue basketball!