Mashabiki wa yanga inaonekana mnamuogopa moo kuliko kitu chochote dunianiHabari wanabodi.
Wadau bila kupoteza muda nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu zile tetesi za Mo kutaka kuondoka katika club ya Simba. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. kiukweli nilifurahi sana niliposikia zile tetesi kwamba MO anaondoka katika club ya simba.
Karibuni wanabodi.
Karibuni.
Km mnavyomuogopa ZaheraMashabiki wa yanga inaonekana mnamuogopa moo kuliko kitu chochote duniani
Mashabiki wa yanga inaonekana mnamuogopa moo kuliko kitu chochote duniani
Hahaaah mkuu mtapata tabu sana...moo yupoyupo saana...huwezi kumtenganisha moo na simba hata siku mojaHapana Mkuu. Hatumuogopi Mo bali mashabiki wa Simba huku mtaani wananipa taabu sana.
Zahera yupi?? Yule ambaye kila baada ya mechi ni mtu wa kulialia na waamuzi??? sisi tumuogope kwa lipi π π π π π ....labda tumuogope sababu alifanikiwa kutoa droo na sisi mechi moja so akachukua point moja kwetuKm mnavyomuogopa Zahera
Huyu shabiki wa yanga ndo kaanzisha uzi kumuulizia moo...sasa mambo ya moo yanawahusu nini...nyinyi anzisheni uzi kuwaulizia wakina mzee akilimali wenuSasa hapa mashabiki wa Yanga wanaingia je? Acha ubwalasi ndugu
Inaonesha simu zake zimeharibika!Ni tetesi tu wala usiziweke maanani
Huyu shabiki wa yanga ndo kaanzisha uzi kumuulizia moo...sasa mambo ya moo yanawahusu nini...nyinyi anzisheni uzi kuwaulizia wakina mzee akilimali wenu