Wadau wa soka jifunzeni kingereza ili mjue kanuni za soka kupitia Wikipedia

Wadau wa soka jifunzeni kingereza ili mjue kanuni za soka kupitia Wikipedia

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mchezaji hawezi kuwa offside kama amezidi mikono...
👇
Screenshot_20220427-170304.jpg
 
Ulipaswa uandike:, WADAU WA SOKA PITIENI GUGO (KAMA WEWE ULIVYOPUTIA) ILI KUJUA KANUNI ZA MPIRA.
wewe mwenyewe ujui imekubidi uende gugo kwanza ndiyo uanzishe uzi.
 
Hicho kilichopo hapo ni sahihi sibishani nacho.

Lakini kumbuka Kijana usipendelee kujifunza kila Kitu kupitia Google hasa Wikipedia kwani hata mimi na Watanzania wengi tunazo valid account za Wikipedia tunatupia tu mizigo huko utabeba Pumba huko uje uuumbuke.

Ndugu Wikipedia haipost Vitu wenyewe na wala wanaopost habari zao haziwi verified hivyo ni Shamba la Bibi kila Mtu anajiandikia huko.

Kama kweli na wewe unataka kujifunza Sheria za Soccer basi tafuta Kitabu kinachoitwa "LAWS OF GAME" ni cha FIFA wenyewe ndiyo humo utazipata Sheria zote 17 za Soccer.

Kama unahitaji Softcopy nitumie email yako Inbox nitakutumia ili usome Sheria halisi za Soccer uepukane na hizi Aibu ndogondogo.
 
Back
Top Bottom