TheGreatASA
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 264
- 331
SENZO alikuwa CEO wa Simba Sports Club na sasa amehamia Yanga (Dar Young African). Napenda kujua kule amekuwa nani, Katibu Mkuu, Mwenye Kiti, au nani. Hili swali ni kwa sababu Yanga bado wanatumia mfumo wa zamani hawana CEO. Naomba mnieleweshe.