Wadau wa Soka Tunajua Hajaitwa sasa nyie mmetoa wapi hii

Charmaine

Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
61
Reaction score
161
Sijui mmetolea wapi hili Jina Kuitwa Timu ya Taifa Uganda GIFT FRED mmewaonaje Waganda yaani mtu hajacheza toka aje anagugumia tu hata kumdhamini mmemuweka benchi wenyewe now mnasema Uongo Kaitwa Tunaomba Uthibitisho wake Wadau wa Soka Tunajua Hajaitwa sasa nyie mmetoa wapi hii Kudanganya watu kazi Yenu oneni Aibu basi
 
acha ujinga gift kaitwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…