Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 319
- 335
Habari za wakati huu ndugu wana jf na wadau wa sports naomba kujuzwa namna ya kufanikisha kujiunga na course za ukocha na uamuzi wa mchezo wa soka kwa hapa kwetu Tanzania.
Kwa sasa ambao tunataka kuitumikia football katika nyanja hizo mbili.
Kwa mwenye atakuwa na connection ya kufanikisha hayo tujuzane wakuu.
Kwa sasa ambao tunataka kuitumikia football katika nyanja hizo mbili.
Kwa mwenye atakuwa na connection ya kufanikisha hayo tujuzane wakuu.