Haa wee umeona waamuzi wa kibongo wanatuzingua hongera sana kwa uamuzi huoHabari za wakati huu ndugu wana jf na wadau wa sports naomba kujuzwa namna ya kufanikisha kujiunga na course za ukocha na uamuzi wa mchezo wa soka kwa hapa kwetu Tanzania.
Kwa sasa ambao tunataka kuitumikia football katika nyanja hizo mbili.
Kwa mwenye atakuwa na connection ya kufanikisha hayo tujuzane wakuu.
Hadi hapa naanza kuamini Yanga imeanza kujipata. Ikianzaga hii milio jua tayari.Urefa unalipa sana zama hizi za GSM, hongera sana kwa kuiona fursa.
Nenda tff utakuta kila kituHabari za wakati huu ndugu wana jf na wadau wa sports naomba kujuzwa namna ya kufanikisha kujiunga na course za ukocha na uamuzi wa mchezo wa soka kwa hapa kwetu Tanzania.
Kwa sasa ambao tunataka kuitumikia football katika nyanja hizo mbili.
Kwa mwenye atakuwa na connection ya kufanikisha hayo tujuzane wakuu.
Acha uchawiumejipanga kuhonga ktk ngazi zote utakazopitia?Manake chama cha soka cha wilaya,mkoa hadi tff wenyewe, unatakiwa utumie zaidi ya milioni 7 kutafuta kazi ya urefarii ya laki tatu kila mechi. Vinginevyo endelea kulima magimbi huko kwenu SONGWE.