Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
##Kwanini waimbaji walio wengi wa taarabu ni wa jinsia ya kike?
##Kwanini nyimbo nyingi zinahusu mambo ya mahusiano/mapenzi? si ajabu kukuta kati ya nyimbo 10 zinazoimbwa zote ni za mahusiano. shida nini hasa? mambo mengine hayaimbiki au?
##Kwanini waimbaji wengi ni wanene? Hilo ni takwa la muziki wenyewe au ukiwa mwembamba kuna shida gani?
##Kwanini waimbaji lazima wavae mavazi makubwakubwa na mapana maarufu kama madela/dera? kuna siri gani kati ya hayo mavazi huo muziki? je ukivaa mavazi tofauti nini kinapungua?