Wadau wa taarabu mnisaidie majibu ya maswali haya

Kuna kibao kinaitwa hisani yangu,anhaa kizuri bwana uwongo mbaya..no homo
 
Inatokana na asili yake, Bi Kidude hakuwa mnene
 
Majibu mawili tu;
Nayajibu kinyume nyume.
Swali la pili wanaimba mapenzi kwa sababu waimbaji ni wanawake ambao muda mwingi vichwa vyao vinafikiria mapenzi/wanaume.
Swali la nne..wanavaa nguo ndefu kwa sababu wanawake/ waimbaji ni wanene hivyo nguo kubwa unafanya minyama uzembe isionekane kwa urahisi...wanakuwa wanene kwa sababu ya ulafi na uvivu.
 


Ni kama mziki aina ya Blues je imeshawahi kutokea nyimbo zake kuwa na maudhui tofauti na mlengo wa mahusiano ya kimapenzi ?
 


Muziki wa taarabu ni aina nzuri sana ya muziki.

Inafundisha, kuonya, kuburudisha n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…