Hii ndio tamthilia yangu ya mwisho kufuatilia, sikumbuko km iliisha au ilisitishwa kuonyeshwa lkn tng wakati ule sikutaka tena kuwa mtumwa wa tamthilia,
siku hizi ITV tamthilia zake zinaboa mno,tatizo wanapenda vitu cheap,,wangekuwa wanachukua vitu kutoka Telemundo,sio hawa Televista au Telenovela ambao tamthilia zao wala hazibambi,kubamba kwa tamthilia kunakuhakikishia wazamaji wengi na hivyo mapato kuwa juu