Wadau wa umwagiliaji ipi ni aina bora ya water pump?

Wadau wa umwagiliaji ipi ni aina bora ya water pump?

Ze Analyst

Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
49
Reaction score
83
Wadau nipo mbioni kununua water pump kwa ajili ya shughuli za umwagiliaji. Naomba kujuzwa ipi ni aina bora ya water pump, hasa hizi za inchi 3-4 zinazotumia petrol.

Ahsanteni!
 
Wadau nipo mbioni kununua water pump kwa ajili ya shughuli za umwagiliaji. Naomba kujuzwa ipi ni aina bora ya water pump, hasa hizi za inchi 3-4 zinazotumia petrol.

Ahsanteni!
Honda mkuu, ukipata iyo safi
 
Mkuu honda iwe hp 5.8 na kuendelea bomba ivute inch3 mpira wake
 
Hujazungumza pump za Aina gani na za kilimo kipi, ukiwa specific ni rahisi kusaidika,
Kama ni petrol pump , kwangu mie ni Robin, all the way
 
Back
Top Bottom