njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Jana ilikuwa ni pambano huko Uzbeki kati ya Salim Mtango vs ShohJahon Ergashev ni kituko kijana watu kapigwa ngumi moja kayumba kidogo lakini hajaanguka, refa kavunja pambano kwamba ni knockout hata hajamuhesabia hadi kumi.
kijana kajaribu kupinga uamuzi ukabaki palepale ila ziliztokea vurugu kubwa sana mashabiki walikataa kabisa.
haya ni maoni ya baadhi ya wadau wa huko kwenye you tube
kijana kajaribu kupinga uamuzi ukabaki palepale ila ziliztokea vurugu kubwa sana mashabiki walikataa kabisa.
haya ni maoni ya baadhi ya wadau wa huko kwenye you tube