N najua JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 224 Reaction score 54 May 30, 2012 #1 kwa wale wenye timu za volleyball itakuwa poa kaama tukialikana kwa ajili ya mashindano itakuwa poa sana maana tutakuza mchezo.mimi nachezea timu moja ipo tegeta dar. sio mbaya tukiorganise mechi ya kirafiki kwa wale wenye timu
kwa wale wenye timu za volleyball itakuwa poa kaama tukialikana kwa ajili ya mashindano itakuwa poa sana maana tutakuza mchezo.mimi nachezea timu moja ipo tegeta dar. sio mbaya tukiorganise mechi ya kirafiki kwa wale wenye timu
Gwakukahja JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 1,119 Reaction score 738 Oct 28, 2016 #2 Aisee hakuna volleyball hapa