ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Pumba tupu
Ujinga, wako nilifikiri umepona kumbe bado upo mukichwa mond ni levo ya juu zaidi kwa kweli
usione kichaka........
kajifunze kwanza uwasilishaji wa wazo au mtazamo may be tutajaribu kukuelewa
Hili ni wàzo zur sana lakupiga pesa kwa mtu mwenye mkwanj aandae pambano af awalipe wasanii haw.dau.zur.uwanja wa taifa utajaa nakwambiaAkili yako kama ya ndege
juu wa wapUjinga, wako nilifikiri umepona kumbe bado upo mukichwa mond ni levo ya juu zaidi kwa kweli
Timu kibakuli Hamna sema timu hater diamondWakuu kama hii imetokea marekani chriss Brown na Soulja boy watakinyunda kule dubai. Wataingiza pesa mingi. Nchini hapa promota achukue wazo. Pay for views tutapata wengi. Team diamond vs team kiba. Mashabiki watahudhuria maelfu ukumbi uwe mkubwa. Ila hata wawe na walimu wazuri bado Nina uhakika King Kiba atamdunda diamond mapema. Bado mdogo Sana. Na ni wazo tu hizo hela zitazidi kuwatajirisha. Beef hawana LA kusema washindwe kuingiza pesa ndefu. Bongo matukio. Heshima Kwa team zote. Ni mziki mzuri wapambane na kwenye ulingo
Napenda watu wenye kunielewa haraka. Asante samsun Kwa kujikita kwenye hojaPromota wa hilo pambano atapata hasara tu,kwasababu kwa vyovyote vile hao jamaa (MOND,kiba) watataka pesa ndefu mno ambayo haitarudi.