Wadau wajiuliza Waarabu wamemfanya nini Luis Konde?


Kwani MMERUDISHIWA au MMEMRUDISHA NYIE WENYEWE…????
 
Kwa hiyo hizo assist anazotoa kweli magoli huzioni au umejawa na ushabiki
Hata Kisinda na Yikpe walifunga na kutoa assist lakini haiondoi ukweli kuwa walikuwa wabovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…