IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Picha za landcruiser 300 series zimeanza kuonekana huku wadau wakikasirishwa na muonekano mbaya wa gari huku wakilaumu kwamba wameua lengendari 200 series alafu wamekuja na utopolo.
Wengine wameenda mbali zaidi na kusema hiyo tena haiitwi landcruiser v8 mnyama tuliemzoea bali anaitwa
Land patrol kwa maana muonekano wake, pajero si pajero, patrol si patrol basi wameibatiza jina la land patrol.
NOTE: sisi tuendelee kukimbizana na gari zetu tulizozioea za wanyonge.