You know you're a Range Rover owner when your marriage is easier to keep going than your car πππππToyota kama kawaida yao.
Ugly car. Serikali watatoa mihela hapa.
Bahati mbaya hio gari haijawa designed kwa ajili yetu wanyonge so hata miluzi yetu hawaisikii,si tukomae tu harrier tako la nyaniIpo Sawa Sawa
Miruzi Mingi Humpoteza Mbwa
ππππππ πππππππ ππ
Unachukua jeusi au la damu ya mzee ππWadau tumezipokea. Can't wait 2022 kuziona Dodoma.
View attachment 1767355
Black mzee.. Black Panther! ππUnachukua jeusi au la damu ya mzee ππ
Naweka kabisa booking ya lift mzee babaππBlack mzee.. Black Panther! ππ
Naunga Mkono Hoja Kwa Asilimia Mia MojaBahati mbaya hio gari haijawa designed kwa ajili yetu wanyonge so hata miluzi yetu hawaisikii,si tukomae tu harrier tako la nyani