Wadau wale watu wa online mkuje hapa nahitaj msaada

Anastasia21

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2023
Posts
1,056
Reaction score
2,118
Wale mlio na ujuzi wa online works au work at home mtusaidie na sisi housewife wa nyumbani tupate idea tuingize posho jamani msiwe wachoyo wa materials jaman!

Nimewasilisha!
 
Mfano unataka kufanya kazi gani? Content creation au remote working?
 
Remote working
Kazi utazipata upwork, linkedin, proz, freelancer dot com na fiverr nadhani hii ndizo platform mashuhuri zaidi. Kote huko unapaswa utengeneze profile ya kueleweka na uaminike kabisa na ujitune kwenye skills ambazo uko comfortable nazo. Profile yako hakikisha ni nzuri na inaonyesha what you can deliver.
 
Kuna kazi ya Kurekodi, ila muwe pair, male and female. Kama unaweza, ni PM for details.

Muhimu ni kurekodi ukiwa sehemu tulivu.
Kazi utazipata upwork, linkedin, proz, freelancer dot com na fiverr nadhani hii ndizo platform mashuhuri zaidi. Kote huko unapaswa utengeneze profile ya kueleweka na uaminike kabisa na ujitune kwenye skills ambazo uko comfortable nazo. Profile yako hakikisha ni nzuri na inaonyesha what you can deliver.
Naomba kama hautojali unipe elimu kidogo juu ya hizo platform yaan in general
 
Wale mlio na ujuzi wa online works au work at home mtusaidie na sisi housewife wa nyumbani tupate idea tuingize posho jamani msiwe wachoyo wa materials jaman!

Nimewasilisha!
Upwork, affiliate marketing, faceles youtube, copywriter , hii inaweza kukusaidia afu kwanza unakuwaje house wife karne hii ya 21?
 
Back
Top Bottom