Wadau Wampongeza Freeman Mbowe kwa Ukomavu wa Demokrasia na Uvumilivu uliotukuka

Wadau Wampongeza Freeman Mbowe kwa Ukomavu wa Demokrasia na Uvumilivu uliotukuka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya Uchaguzi wa ndani wa Chadema Wadau kadhaa wameeleza namna walivyoshangazwa na ukomavu wa Freeman Mbowe.

Screenshot_2025-01-24-14-27-38-1.png

Sina haja ya kuongeza chumvi, zaidi someni wenyewe.

Screenshot_2025-01-24-14-27-30-1.png
 
Siyo umwamba)ukomavu,bali hapakua na namna,bila hivyo saccos ilikua inasambaratika
 
Nampongeza sana kwa uvumilivu ule uvumilivu wake ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Lissu alivyomchafua na watoto wa bavicha kumuita mlamba asali kala pesa za Abdul lissu akafikia kusema amemuua mzee kibao na lema anaposti picha za deus soka anasema mafumbo kuwa mbowe kamchomesha yule dogo.mimi ningemmwaga mtu mimavi. Haswa huyo lissu kamtikana saaaaana lakn huyu dingi kakausha kama hana hisia vile
 
Vitengo hivyo kuwa chini ya Mwenyekiti ni demokrasia? Mnaposema fulani ana mamlaka makubwa huwa ni kwenye masuala ya kitaifa tu ila kwenye chama hamlioni? Safari ni ndefu kidogo.
 
Nampongeza sana kwa uvumilivu ule uvumilivu wake ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Lissu alivyomchafua na watoto wa bavicha kumuita mlamba asali kala pesa za Abdul lissu akafikia kusema amemuua mzee kibao na lema anaposti picha za deus soka anasema mafumbo kuwa mbowe kamchomesha yule dogo.mimi ningemmwaga mtu mimavi. Haswa huyo lissu kamtikana saaaaana lakn huyu dingi kakausha kama hana hisia vile
Umeelewa sana uzi huu, Nakupongeza
 
STRONGER TOGETHER
STRONGER TOGETHER
STRONGER TOGETHER
 
Back
Top Bottom