Tumalize kwanza upande wa Simba kwa sababu karibu wagawane mbao!Salaam Wakuu,
Kumekuwa na hoja ya wadau mbalimbali wa michezo, wanachana wa Simba na wasio Simba. Watu wanataka kujua nini kinakwamisha mchakato wa transformation kukamilika pamoja na uhalali wa Mo Dewji kuwekeza hisa 49% peke yake...
Yanga mbona hata kwenye mkutano mkuu juzi hapa imesemwa. Mchakato wa mabadiliko unaendelea. Kilichopo sasa ipo kamati ya mabadiliko ambayo inafanya tathmini ya thamani ya Klabu.Salaam Wakuu,
Kumekuwa na hoja ya wadau mbalimbali wa michezo, wanachana wa Simba na wasio Simba. Watu wanataka kujua nini kinakwamisha mchakato wa transformation kukamilika pamoja na uhalali wa Mo Dewji kuwekeza hisa 49% peke yake...
Mchakato wa transformation simba ulikwamba kwasababu kwenye katiba kulikua na vipengere ambavyo mamlaka za usajiri ziliamuru vibadilishwe moja ya kipengere ni kwamba katika zile hisa 49% upande wa mwekezaji kunatakiwa kuwa na wqwekezaji angalao watatu kitu ambacho ni tofauti na katika ambayo simba aliipeleka ambapo hisa 49% alikuwepo Mo peke akeKumekuwa na hoja ya wadau mbalimbali wa michezo, wanachana wa Simba na wasio Simba. Watu wanataka kujua nini kinakwamisha mchakato wa transformation kukamilika pamoja na uhalali wa Mo Dewji kuwekeza hisa 49% peke yake.
Mchakato wa mabadiliko yanga umeshakamilika hatua ya kwanza ilikua kupata viongozi ambapo injinia alishinda kuwa rais wa timu kwa sasa mchakato upo kwenye hatua ya kufanya calculation ya thamani ya timu ili hisa ziweze kuuzwa kwa wawekezaji watakaojitokezaJe, Yanga wamekamilisha mchakato wao?
Kama bado kwanini waandishi hawahoji kuhusu Hilo?
Hakuna popote ambapo GSM imepewa ulazima au upendeleo katika kumiliki yanga, kwa sasa GSM bado ni mfadhiri na business partner tu pale yanga(ana tenda ya kutengeneza na kusambaza vifaa vya michezo kwa logo ya yanga). Thamani ya timu ikishajulikana na wawekezaji kupewa ruhusa ya kununua hisa basi GSM pamoja na wawekezaji wengine wote watakaribishwa.Kama si halali kwa Mo Dewji kumiliki hisa 49% Simba je GSM atamiliki na nani kwa Yanga?
Simba thamani ya klabu yao waliambiwa na Kanjibhai mwenyewe kwamba ni bilioni 20, akuna chombo chochote Cha maana kilichofanya tathmini ya kujua thamani ya Simba, yaani aliwashika masikio na wenyewe wakajaa kwenye mfumo wake, Leo unamsikia anasema ameshainunua Simba sijui aliuziwa na try again ama nani!Yanga mbona hata kwenye mkutano mkuu juzi hapa imesemwa. Mchakato wa mabadiliko unaendelea. Kilichopo sasa ipo kamati ya mabadiliko ambayo inafanya tathmini ya thamani ya Klabu.
Walitangaza tenda na wamepata kampuni tatu. Wakipata thamani ya Klabu sasa ndiyo wanatangaza kutafuta mwekezaji. Simba sijui thamani ya timu yao waliijuaje.