W Wild Flower JF-Expert Member Joined Jul 20, 2023 Posts 977 Reaction score 1,966 Feb 13, 2026 #1 Your browser is not able to display this video.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Feb 13, 2026 #2 Tukiweza kumalizana na chama chawala tutamalizana na vingi
adrenaline JF-Expert Member Joined Jun 17, 2015 Posts 4,727 Reaction score 8,093 Feb 13, 2026 #3 Watu wakiamua kufikiri na ku challenge Tanzaia hatikalika hii. Betting sio kichaka cha kujificha kuna mambo hayako sawa pahala waanzie huko.
Watu wakiamua kufikiri na ku challenge Tanzaia hatikalika hii. Betting sio kichaka cha kujificha kuna mambo hayako sawa pahala waanzie huko.
mr pipa JF-Expert Member Joined Jul 26, 2021 Posts 4,335 Reaction score 9,286 Feb 13, 2026 #4 We bhana meu sana beting na boda vimefanya vjana waish kwa matumain tofaut na hapo mbona ungependa we sema tu barca jana kakuliza unazunguuuukaaa
We bhana meu sana beting na boda vimefanya vjana waish kwa matumain tofaut na hapo mbona ungependa we sema tu barca jana kakuliza unazunguuuukaaa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Feb 13, 2026 #5 Tukiweza kumalizana na chama chawala tutamalizana na vingi
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Feb 13, 2026 #6 Mshana Jr said: Tukiweza kumalizana na chama chawala tutamalizana na vingi Click to expand... Hakika, naunga mkia hoja.
Mshana Jr said: Tukiweza kumalizana na chama chawala tutamalizana na vingi Click to expand... Hakika, naunga mkia hoja.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Feb 15, 2026 #7 Mambo yao waachiwe wenyewe... Cc: Mahondaw
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 Feb 15, 2026 #8 Wild Flower said: View attachment 3543318 Click to expand... Matapeli wapo SISIEMU ,acha vijana wastakes wapate riziki. Sasa kubashiri kwamba yanga inafunga halafu ukaweka elfu 10 ukalamba elfu 20 utapeli upo wapi hapo? Washughulikie WEZI waliopo sisiemu kwanza ,kina BASHITE wanaiba hadi wanaiba TENA na hawakamatwi.
Wild Flower said: View attachment 3543318 Click to expand... Matapeli wapo SISIEMU ,acha vijana wastakes wapate riziki. Sasa kubashiri kwamba yanga inafunga halafu ukaweka elfu 10 ukalamba elfu 20 utapeli upo wapi hapo? Washughulikie WEZI waliopo sisiemu kwanza ,kina BASHITE wanaiba hadi wanaiba TENA na hawakamatwi.