Wadau wenye ufahamu wa NGO nisaidieni nataka nianzishe NGO yangu

Wadau wenye ufahamu wa NGO nisaidieni nataka nianzishe NGO yangu

mamabaraka

Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
92
Reaction score
14
nimewahi kufanya kazi kama msimamizi wa miradi katika ngo moja yenye makao yake hapa mjini, hvyo ninao uzoefu kiutendaji wa miaka miwili. Registration zinafanyika wapi? Tusaidiane mawazo kwa mwana jf yeyote mwenye ngo au mwenye wazo kama langu.
 
ngo itakuwaje yako tena? Si bora uanzishe kampuni na wanao
 
ngo itakuwaje yako tena? Si bora uanzishe kampuni na wanao[/QU Acha ujinga msomi mzima ovyo hamia facebook kama jf huiwezi, ndo maana nikaomba msaada wa dondoo, sasa kama una idea kwa nini usiseme hzo dondoo unaandika pumba? Tumia elimu yako vzr acha sifa
 
ni rahisi mdau,ingawa umeonesha ubinafsi hata kabla ngo haijaanza...Mungu apishie mbali na 'greedyness' isijidumbukize.Taarifa za uhakika unawezapata pale kwa msajili wa ngo magogoni unaingilia lango la utumishi. Kwa ufupi unatakiwa uwe na katiba ya shirika,viongizi/pp size,uspesfy niya kitaifa au kimkoa,ada na barua ya kuomba usajili.jamaa wa kwa msajili wapo straight 4wad hawana longolongo watakusaidia vzri bila shaka.
 
thankx for good information Mr or Miss nusumtu, unajua mtu akisema hana idea it means anaomba muongoza sikujua hata kama NGO haiwi ya mtu binafsi manake bosi wangu katika ngo fulani hapa town, NGO ilikuwa ni kama yake anaajili mwenyewe, anapanga mshahara mwenyewe,akiamua kukulipa 2milion hata kama ni std seven atakupa, na akiamua kukupa laki na nusu hata kama una ni graduate atakulipa,pia akiamua kuajili au kudismisal ni yeye tu everything ye ndo owner na msemaji mkuu. God bress you thank you.
 
nimewahi kufanya kazi kama msimamizi wa miradi katika ngo moja yenye makao yake hapa mjini, hvyo ninao uzoefu kiutendaji wa miaka miwili. Registration zinafanyika wapi? Tusaidiane mawazo kwa mwana jf yeyote mwenye ngo au mwenye wazo kama langu.

Ok, nina ufahamu huo na nimeregister NGO moja. Hivi sasa ninafanya kazi kwenye international NGO hapa DSM. Kama utahitaji msaada zaidi nipigie 0715 203386.
 
Ok, nina ufahamu huo na nimeregister NGO moja. Hivi sasa ninafanya kazi kwenye international NGO hapa DSM. Kama utahitaji msaada zaidi nipigie 0715 203386.

Yeah, m pia ntkuchek matt kwaa ushaur zaidi pia nina NGO na jamaa zangu tumesajili home affairs tuna mwaka sasa, ntakupm mama baraka for more clarity
 
NGO unahusika na nini? unasaidia kina nani kufanya nini? toa basi information kidogo watu wapate interest.
 
Back
Top Bottom