mamabaraka
Member
- Oct 18, 2011
- 92
- 14
upo wapi kwa sasa?
mi nipo dar,nina that idea, Hata mimi nipo dar, kama unavyojua ofisi iliyoanza bila Idea tayari wazo ninalo na nipo naandaa proposal kama tatu hv kwa ajili ya kuwatumia wafadhiri.
ngo itakuwaje yako tena? Si bora uanzishe kampuni na wanao[/QU Acha ujinga msomi mzima ovyo hamia facebook kama jf huiwezi, ndo maana nikaomba msaada wa dondoo, sasa kama una idea kwa nini usiseme hzo dondoo unaandika pumba? Tumia elimu yako vzr acha sifa
nimewahi kufanya kazi kama msimamizi wa miradi katika ngo moja yenye makao yake hapa mjini, hvyo ninao uzoefu kiutendaji wa miaka miwili. Registration zinafanyika wapi? Tusaidiane mawazo kwa mwana jf yeyote mwenye ngo au mwenye wazo kama langu.
Ok, nina ufahamu huo na nimeregister NGO moja. Hivi sasa ninafanya kazi kwenye international NGO hapa DSM. Kama utahitaji msaada zaidi nipigie 0715 203386.