CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
"Hbr zenu ndugu zangu, naombeni wenye uzoefu au utafit juu ya mafuta alizeti ya rejareja hii biashara inakaaje,, Asante u" (UJUMBE TOKA KWA DADA CHOLETA)
Wapendwa wenye taaarifa kuhusu hii biashara naomba mumsaidie dada yangu huyu Dada Choleta maana najua hapo alipo anatamani sana kupata kauelewa kuhusu hii biashara.
Leo nimekuta Dada Choleta kafungua hiyo thread PM kwangu,nikasema hiiiiiiii😳 kulikoni tena,nikajua kivyovyote huyu member Dada Choleta atakua mgeni JF na ktk gusa gusa zake akajikuta thread kaifungulia PM kwangu,ha ha ha msicheke aseee..
Maxence Melo nilikua nina ombi,naomba JF sijui muiweke vipi kwa wageni atleast kuwe na "MUST READ THREAD" kwa wanaojiunga JF kwa siku za kwanza na ktk hizo thread muweke mafundisho ya "jinsi ya kufungua thread",jinsi ya kumtumia mtu msg,nk nk hiii itasaidia wageni wengi kuelewa na kuijua JF kabla ya kufanya makosa kama ya Dada Choleta.
Hii imenipa picha kuwa kuna wageni wengi nnje ya JF wanaotamani fungua nyuzi humu,kutoa habari,kuchangia,nk nk lkn wanashindwa kutokana na ugeni wa huu mtandao pendwa sasa...
Haya turuudini kwenye mada yetu ya mezani DADA CHOLETA anaomba mumsaidie taarifa/mbinu nk nk kama ,mstari wa kwanza alionitumia alivyoandka,Hebu wakazi wa dodoma/singida na wafanya biashara wa mafuta ya ALIZETI tusaidiane kupeana details kwa faida ya mgeni wetu Dada Choleta.
Choleta dada haya uzi wako huuu nimeku tag mara nyingi nyingi ili vinotification uvipate uje kuona uzi wako.
#CONTROLA