OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Habari wakuu,
Huu ni uzi maalumu kwa wadau wote wa mpira wa miguu mnaotaka kuuelewa mpira na kuuchambua mnakaribishwa
Pia wadau wote wenye hii taaluma mnakaribishwa kutoa somo na kubadilishana vitabu
Binafsi nimesoma vitabu viwili mpaka sasa kimoja namalizia
Jambo mbalo sikuwa nalijua ni kwamba ili mtu awe kocha atalazimika kukaa darasani kufundishwa sheria zote 17 za mpira wa miguu (referee course) atafanyishwa mtihani na kupimwa uelewa wqke, hivyo hivyo kwa wachezaji nao hufundishwa sheria zote 17, mchambuzi pia anapaswa kuzijua sheria zote 17
Pia katika vitabu nilivyosoma wamefafanunua mbinu na misamiati mbali mbali nitakuwa natoa ufafsnuzi zaidi
Wadau karibuni pia mnaruhusiwa kushare kile mnschokijua