jamani wadau wenzangu kila kazi ina mamlaka husika hivyo naomba huu uongo mdogo kila mtu anaotoa tuuache kwanza tuwaze mabo mengine kazi ya kuweka majina ya wanaoenda chuo ni ya TCU peke yao jamani.naomba kuwasilisha.
Sasa kama TCU wenyewe wametoa tangazo uongo unatokea wapi? Tatizo lako umekuja JF Baada ya ze duduz kuweka selection za Ud. Ebu usiwatafutie wadau Ban.