Bila shaka atakubalika tu. Kwa ujinga huu uliotufunika!!! Cjui itakuwaje ikiwa wewe mwenye ahueni ya ufahamu bado unamkubali. Slaa hamkubali JK katu. Anakubalika na wasiowaelewa na wala rushwa ambao hata kama wanaelewa bado tamaa zao zinawafunga CCM. Hii ni nchi ya wajinga na waoga. Wakubwa na wasomi ni waoga, wananchi wakawaida hawajui kitu. Ukijua umebahatika hivo tumia bahati yako kuwaelemisha wengine tuuon'goe wakoloni hawa wenye rangi nyeusi, CCM.